read
news & Articles

Simba yatua salama Songea, yapata mapokezi ya kifalme
Kikosi chetu kimewasili salama mjini Songea na kupata mapokezi ya kifalme kutoka kwa idadi kubwa ya mashabiki waliojitokeza kutulaki na kutupa hamasa. Timu iko Songea

Gomes: Mechi dhidi ya Yanga itakuwa fainali
Kocha Mkuu, Didier Gomes amesesema mchezo ujao wa ligi dhidi ya watani wa jadi Yanga utakaofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 3 utakuwa kama fainali

Simba yabakisha tatu kutwaa ubingwa VPL
Ushindi wa mabao 4-1 tuliopata dhidi ya Mbeya City leo umetufanya tubakishe alama tatu ili kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Msimu wa 2020/21.

Kocha Gomes afanya mabadiliko kikosi dhidi ya Mbeya City leo
Baada ya kuwakosa baadhi ya wachezaji, Kocha Didier Gomes amefanya mabadiliko kadhaa ya kikosi kitakachoshuka dimbani kuikabili Mbeya City kwenye mchezo wa leo wa ligi

Simba kuendeleza msako wa pointi tatu hadi ubingwa VPL
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ikiwa na lengo moja tu la kusaka

Chama arejea Manula, Taddeo kuikosa Mbeya City kesho
Kiungo wetu mshambuliaji, Clatous Chama amerejea kikosini kutoka nchini kwao Zambia baada ya kumaliza mazishi ya mke wake aliyefariki mwanzoni mwa mwezi huu. Baada ya