read
news & Articles

Simba yapiga tizi Kirumba kabla ya kuifuata Mwadui
Kikosi chetu leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kabla ya kuanza safari ya kuelekea Shinyanga kuikabili Mwadui FC. Mchezo

Simba yawasili salama jijini Mwanza
Kikosi kimetua salama jijini Mwanza tayari kwa mechi tatu za Kanda ya Ziwa ambazo ni Mwadui FC, Kagera Sugar na Gwambina FC. Baada ya kufika

Simba kutua Kanda ya Ziwa na nyota 28
Kikosi chetu kitaondoka leo jioni kwa ndege kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa ajili ya mechi tatu za Ligi Kuu ya Vodacom kikiwa na

Unaijua sababu ya Bwalya kushangilia kwa kuonyesha saa?
Kiungo mshambuliaji, Rally Bwalya amesema alishangilia kwa staili ya ishara ya kuonyesha saa ya mkononi akimaanisha imefika hatua ya kupata mafanikio kuanzia kwenye Ligi za

Kocha Gomez afunguka sababu ya kutoa ‘dozi kubwa’ kwa Mtibwa
Kocha Mkuu, Didier Gomez ameweka wazi sababu ya ushindi wa mabao 5-0 tuliopata dhidi ya Mtibwa Sugar kuwa ni kucheza kwa nidhamu na kujituma. Licha

Simba yarejea kwa kishindo VPL, yaipiga Mtibwa ‘mkono’
Kikosi chetu kimeonyesha dhamira ya kutaka Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuichakaza bila huruma Mtibwa Sugar mabao 5-0. Katika mchezo huo uliopigwa
