read
news & Articles

U20 yatinga nusu fainali
Kikosi chetu cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kimetinga nusu fainali ya baada ya kuifunga JKT Tanzania bao moja katika mchezo

Ni Do or Die kwa vijana wetu mbele ya JKT leo
Kikosi chetu cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20, leo usiku kitashuka dimbani kuikabili JKT Tanzania katika mchezo ambao tunapaswa kushinda ili

Gomez kuongoza mazoezi mwenyewe leo
Kocha Mkuu Didier Gomez leo ataongoza mazoezi baada ya kurejea kutoka mapumziko ya siku chache kutokana na kusimama kwa ligi kupisha mechi za kirafiki za

Ushindi dhidi ya Mwadui waongeza mzuka wa kuifikia nusu fainali
Kikosi chetu cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kimeibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa

Simba, Yanga hakuna mbabe
Mchezo wa hatua ya Nane Bora wa Ligi Kuu ya Vijana Chini ya Umri wa Miaka 20 kati yetu na Yanga uliopigwa Uwanja wa Azam

Simba kuanza mazoezi leo
Baada ya mapumziko waliyopewa wachezaji, hatimaye leo jioni kikosi chetu kitafanya mazoezi katika viwanja vyetu vya Mo Simba Arena vilivyopo Bunju jijini Dar es Salaam.
