read
news & Articles

Simba yabakisha tatu kutwaa ubingwa VPL
Ushindi wa mabao 4-1 tuliopata dhidi ya Mbeya City leo umetufanya tubakishe alama tatu ili kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Msimu wa 2020/21.

Kocha Gomes afanya mabadiliko kikosi dhidi ya Mbeya City leo
Baada ya kuwakosa baadhi ya wachezaji, Kocha Didier Gomes amefanya mabadiliko kadhaa ya kikosi kitakachoshuka dimbani kuikabili Mbeya City kwenye mchezo wa leo wa ligi

Simba kuendeleza msako wa pointi tatu hadi ubingwa VPL
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ikiwa na lengo moja tu la kusaka

Chama arejea Manula, Taddeo kuikosa Mbeya City kesho
Kiungo wetu mshambuliaji, Clatous Chama amerejea kikosini kutoka nchini kwao Zambia baada ya kumaliza mazishi ya mke wake aliyefariki mwanzoni mwa mwezi huu. Baada ya

Simba yarejea Dar, yaingia kambini kuivutia kasi Mbeya City
Kikosi chetu kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka jijini Mwanza leo na kuingia moja kwa moja kambini kujiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya

Simba haishikiki VPL
Kikosi chetu kimeendelea kukusanya alama tatu kwenye Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuifunga Polisi Tanzania bao moja bila katika mtanange uliopigwa katika Uwanja wa
