read
news & Articles

Bwalya afunguka staili yake ya kushangilia
Kiungo wetu mshambuliaji Rally Bwalya, amesema aina yake ya ushangiliaji anapofunga bao huwa anamaanisha licha ya kupitia magumu lakini kuna mwanga na baraka mbele yake.

Simba yazidi kujinoa ikiisubiri Coastal Union
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa dimba

Simba kambini leo kujiandaa na Coastal Union
Kikosi chetu kitaingia kambini moja kwa moja baada ya mazoezi ya leo jioni tayari kukiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya

Hitimana: Tumecheza kwa presha kubwa
Kaimu Kocha Mkuu Hitimana Thierry, amesema katika mchezo wa leo dhidi ya Polisi Tanzania tulicheza kwa presha lakini tunashukuru kwa kupata alama tatu muhimu. Hitimana

Simba yaendeleza ubabe kwa Polisi Tanzania
Kikosi chetu kimeibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kibu, Kagere kuiongoza Simba dhidi ya Polisi Tanzania
Washambuliaji Kibu Denis na Medie Kagere wataongoza idara yetu ya ushambuliaji katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa
