read
news & Articles

Kocha wa zamani Real Madrid kumrithi Gomes
Klabu yetu imeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Pablo Franco (41) raia wa Hispania kukinoa kikosi chetu kuanzia sasa. Pablo anachukua nafasi ya Didier

Dilunga akabidhiwa tuzo yake na Emirate Aluminium ACP
Kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga, amekabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa Oktoba wa mashabiki (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month) na wadhamini Emirate

Wachezaji Simba wapewa mapumziko
Wachezaji wetu wamepewa siku tatu za mapumziko kutokana na kusimama kwa ligi kupisha mechi za kufuzu fainali za Kombe la Dunia Wachezaji ambao hawajaitwa katika

Kauli ya Kocha Hitimana baada ya ushindi dhidi ya Namungo
Kaimu Kocha Mkuu, Hitimana Thierry amesema tutatumia mapumziko ya wiki mbili ya kupisha mechi za Kimataifa kuendelea kuimarisha kikosi chetu ili kurejesha makali yetu. Hitimana

Kagere aibeba Simba dakika za jioni
Bao la dakika ya mwisho lililofungwa na mshambuliaji Medie Kagere limetosha kutupa pointi tatu muhimu dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya

Mhilu, Mkude kuanza dhidi ya Namungo
Winga Yusuph Mhilu na kiungo mkabaji Jonas Mkude wamepangwa kuanza katika mchezo wa wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC utakaopigwa leo
