read
news & Articles
Zimbwe Jr awaita mashabiki kusherekea ubingwa kwa Mkapa Jumapili
Nahodha msaidizi, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amewataka mashabiki wetu kujitokeza kwa wingi katika mchezo wetu wa Jumapili dhidi ya Namungo FC ambao tutakabidhiwa taji letu
Gomes awamwagia sifa wachezaji mechi dhidi ya Azam
Kocha Mkuu Didier Gomes amewasifu wachezaji kwa kujitoa na kupambana hadi mwisho kwenye mchezo wa jana wa ligi kuu dhidi ya Azam FC. Katika mchezo
Gomes, Bocco wang’ara tuzo za VPL Juni
Kocha Didier Gomes amechaguliwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wa mwezi Juni huku Nahodha John Bocco akichaguliwa mchezaji bora. Gomes ametuwezesha
Simba,Azam zagawana pointi
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi Azam FC uliopigwa uwanja wa Azam Complex umemalizika kwa sare kufungana bao moja. Mtanange huo
Ndemla kuanza, Bocco, Kagere kuongoza mashambulizi dhidi ya Azam leo
Kocha Didier Gomes amemuanzisha kiungo Said Ndemla katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa katika Uwanja
Ni mechi ya heshima Chamazi Leo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa kuweka heshima wa Ligi Kuu ya Vodacom