Bwalya Mchezaji Bora wa Mechi

Kiungo mshambuliaji Rally Bwalya, amechaguliwa mchezaji bora wa mchezo wetu wa kwanza wa Michuano ya Mapinduzi dhidi ya Selem View.

Pamoja na kuonyesha uwezo mkubwa katika mchezo wa leo pia amefunga bao la pili kwa shuti kali akiwa nje ya 18.

Bwalya amekabidhiwa fedha taslimu Sh 500,000 kutoka kwa Wadhamini Shirika la Bima Zanzibar (NIC Insurance).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER