Bocco kuongoza mashambulizi dhidi ya Selem View

Nahodha John Bocco amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa kwanza wa michuano ya Mapinduzi dhidi ya Selem View utakaopigwa Uwanja wa Amani saa 10:15 jioni.

Bocco atapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo washambuliaji, Hassan Dilunga, Rally Bwalya na Pape Sakho.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Beno Kakolanya (30), Jimmyson Mwinuke (21), Gadiel Michael (2), Kennedy Juma (26), Pascal Wawa (6), Sadio Kanoute (13), Hassan Dilunga (24), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22), Rally Bwalya (8) Pape Sakho (17).

Wachezaji wa Akiba

Ally Salim (1), Israel Patrick (5), Joash Onyango (16), Jonas Mkude (20), Yusuph Mhilu (27), Sharaf Eldin Shiboub (36), Medie Kagere (14) Chris Mugalu (7), Check Tenena (35).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER