read
news & Articles
Manula Kipa Bora VPL, ASFC
Mlinda mlango wetu Aishi Manula ameibuka Kipa Bora wa Ligi Kuu na Michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) Msimu wa 2020/21. Hii inakuwa mara
Gomes Kocha Bora VPL 2020/21
Kocha Mkuu Didier Gomes, ameshinda Tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu Msimu wa 2020/21 ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) 2021. Gomes amewashinda Francis
Simba yakabidhiwa mamilioni ya Ubingwa 2020/21
Timu yetu imekabidhiwa Sh milioni 100 baada ya kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Msimu wa 2020/21 katika usiku wa Tuzo za Shirikisho la Soka
Simba yaja na ‘Its not Over, Kazi Iendelee’
Kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa tumekuja na slogan ya ‘Its Not
Simba kuingia kambini leo kuivutia kasi Jwaneng Galaxy
Kikosi chetu kitaingia kambini baada ya mazoezi ya leo jioni tayari kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy
Magori: Hatujafanyiwa figisu nchini Botswana
Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu, Crescentius Magori amesema hatujafanyiwa hujuma yoyote katika mchezo wetu wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika