read
news & Articles
Timu kurudi mazoezini kesho kuivutia kasi AS Vita
March 20, 2021
Kikosi cha wachezaji tisa na timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kitaanza mazoezi kesho Jumapili kujiweka sawa baada ya mapumziko ya siku
Miquissone mchezaji bora wa mashabiki Februari
March 17, 2021
Kiungo mshambuliaji Luis Miquissone ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Februari ambayo inadhaminiwa na Emirate Aluminium Profile (Emirate Simba Fans Player of
Gomez: Bado hatujamaliza kazi Klabu Bingwa Afrika
March 17, 2021
Kocha Mkuu, Didier Gomez amesema bado hatujamaliza kazi ya kufuzu michuano hiyo.
Bado moja tutinge Robo Fainali Afrika
March 16, 2021
Ushindi wa mabao 3-0 tuliopata leo dhidi ya El Merrikh umetufanya kubakisha alama moja ili kuingia hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika.