Kakolanya ndani ya Milingoti mitatu dhidi ya Al Merreikh Leo

Mlinda mlango namba mbili, Beno Kakolanya amepewa dhamana ya kukaa langoni kwenye mchezo wa leo dhidi ya Al Merreikh akichukua nafasi ya Aishi Manula aliyepewa mapumziko ili kuimarisha zaidi afya yake.

Kakolanya amekuwa akitumia vizuri nafasi anayopata kuonyesha uwezo mkubwa kama alivyofanya kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi Mwezi Januari nakuibuka mlinda mlango bora.

Kikosi Kamili kilichopangwa

 1. Beno Kakolanya
 2. Shomari Kapombe
 3. Mohamed Hussein
 4. Joash Onyango
 5. Pascal Wawa
 6. Taddeo Lwanga
 7. Clatous Chama
 8. Mzamiru Yassin
 9. Chris Mugalu
 10. Rally Bwalya
 11. Luis Miquissone

Wachezaji wa Akiba

 1. Ally Salim
 2. Erasto Nyoni
 3. Kennedy Juma
 4. Jonas Mkude
 5. Hassan Dilunga
 6. Medie Kagere
 7. Francis Kahata
SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER