read
news & Articles

Timu yawasili Zanzibar yafanya mazoezi ya mwisho
Baada ya kuwasili salama Visiwani Zanzibar mchana kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa nje wa Amaan kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi

VIDEO: Safari nzima kutoka Dar hadi Zanzibar
Kikosi chetu kimewssili salama Visiwani Zanzibar tayari kwa kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi ambayo inaendelea. Tumekuwea video za matukio yote kuanzia jijini Dar es

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo asubuhi kabla ya kesho kuanza safari ya kuelekea Visiwani Zanzibar tayari kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Kikosi

Queens yaishushia kipigo kizito Baobab
Kikosi chetu cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Baobab Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa Uwanja

Kikosi cha Simba Queens kitakachotuwakilisha dhidi ya Baobab Leo
Baada ya ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Ceasiaa Queens tuliopata wiki iliyopita kikosi chetu cha Simba Queens kinarejea tena dimbani Leo kuikabili Baobab

Nyota watano waliocheza dakika nyingi NBCPL
Ligi Kuu ya NBC imesimama kwa takribani wiki tatu kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza leo Visiwani Zanzibar. Wakati Ligi ikiwa imesimama tayari tumecheza