Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida Leo

leo saa 2:15 usiku tunashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili Singida Fountain Gate katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi.

Hiki hapa kikosi ambacho kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amekipanga.

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Israel Patrick (5), Che malone (20), Kennedy Juma (26), Fabrice Ngoma (6), Babacar Sarr (33), Sadio Kanoute (8), Jean Baleke (4), Said Ntibazonkiza (10), Willy Onana (7).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (30), Duchu (3), Hussein Kazi (16), Saleh Karabaka (23), Ladack Chasambi (36), Abdallah Hamis (13), Luis Miqussone (11), Moses Phiri (25).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER