Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili JKT Queens

Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Azam Complex saa 10 jioni kuikabili JKT Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake.

Hiki hapa kikosi cha Simba Queens kilichoanza.

Carolyene Rufa (28), Fatuma Issa (5), Ruth Ingosi (20), Daniella Ngoyi (22), Violeth Nicholaus (26), Vivian Corazone (17), Danai Bhobo (40), Ritticia Nabbosa (27), Aisha Juma (10), Asha Djafar (24), Elizabeth Wambui (4).

Wachezaji wa Akiba:

Janeth Shija (30), Diana Mnali (15), Mwanahamisi Omary (7), Wema Richard (3), Esther Mayala (23), Shelda Boniface (39), Joanitah Ainembabazi (25), Asha Rashid (14), Zainabu Mohamed (8).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER