read
news & Articles

Pablo abadili watano mbele ya Namungo leo
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefanya mabadiliko ya wachezaji watano katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo kulinganisha na kikosi kilichoanza mechi iliyopita

Tupo kamili kutafuta pointi tatu Ilulu leo
Kikosi chetu leo kitashuka kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao utaanza saa 10 jioni.

Queens yaichakaza TSC, Djafar atupia manne
Timu yetu ya Simba Queens imeendeleza umwamba katika Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite Womens Premier League) baada ya kuichapa bila huruma TSC Queens mabao

Kauli ya Kocha Pablo kuhusu mchezo na Namungo
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefunguka kuwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo utakaopigwa uwanja wa Ilulu mkoani Lindi utakuwa mgumu

Timu yatua salama Mtwara
Kikosi cha wachezaji 23 kimewasili salama mkoani Mtwara tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC utakaopigwa Uwanja wa

Kapombe, Henock, Onyango wachuana Mchezaji Bora Aprili
Nyota wetu watatu wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Aprili (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Nyota