read
news & Articles
‘Tuko tayari kupambania alama tatu kwa KMC’
Kikosi chetu leo Ijumaa Desemba 24, kitashuka katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora kwa ajili ya kupambania alama tatu muhimu dhidi ya KMC
Tumepangwa Kundi C Mapinduzi Cup
Ratiba ya Michuano ya Mapinduzi Cup ambayo hufanyika Januari kila mwaka Visiwani Zanzibar imetoka na tumepangwa Kundi C. Katika kundi letu zipo timu tatu tukiwa
Pablo: Tutatumia uzoefu kuwakabili KMC
Kocha Mkuu, Pablo Franco ameweka wazi kuwa kikosi chetu hakiko tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC
Timu yafanya mazoezi jioni kujiandaa na KMC
Kikosi chetu kimefanya mazoezi jioni katika Uwanja wa Shirika la Reli (TRC) mkoani hapa kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Kikosi chatua salama Tabora kuifuata KMC
Kikosi chetu kimetua salama mkoani Tabora tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakaopigwa Ijumaa katika Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi.
Simba Queens ya 2021/22 ni moto, yashusha majembe kama yote
Kikosi chetu cha Timu ya Wanawake cha Simba Queens kimeendelea kusukwa vikali kuelekea msimu mpya wa ligi 2021/22 ambao unaanza Alhamisi wiki hii. Tayari tumeshusha