read
news & Articles

Queens yaisambaratisha JKT
Timu yetu ya Simba Queens imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya JKT Queens katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Uhuru
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho asubuhi katika Uwanja wa Uhuru ikiwa ni maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Azam FC utakaopigwa

Alichosema Pablo kuhusu mchezo dhidi ya Azam
Kocha Mkuu Pablo Franco amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakuwa na burudani kutokana na aina ya wachezaji

Tunakutana na Yanga Mei 28 Kirumba
Ratiba ya mchezo wetu wa Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Yanga imepangwa kufanyika Mei 28 katika Uwanja wa CCM Kirumba

Pablo awapongeza wachezaji ushindi dhidi ya Pamba
Kocha Mkuu Pablo Franco, amewasifu wachezaji baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Pamba FC na kufanikiwa kutinga Nusu Fainali

Tumetinga Nusu Fainali ASFC
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuifunga Pamba FC mabao 4-0 katika mchezo uliopigwa Uwanja