read
news & Articles
Timu yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na Mbeya City kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo jioni katika Uwanja wa Sokoine kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City. Wachezaji wote waliosafiri wamefanya
Sakho aridhia kumwachia Chama namba 17
Kiungo mshambuliaji Pape Ousmane Sakho, amekubali kumwachia jezi namba 17 Clatous Chama ambayo alikuwa anaitumia tangu ajiunge nasi katika majira ya kiangazi yaliyopita. Kabla ya
Moto wa Simba Queens usipime
Timu yetu ya Wanawake Simba Queens imeendelea kutoa dozi katika Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) baada ya kuichakaza bila huruma TSC Queens
Pablo: Mechi dhidi ya Mbeya City itakuwa ngumu
Kocha Mkuu Pablo Franco, ameweka wazi kuwa mchezo wetu wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City utakuwa mgumu kutokana na ubora
Machampioni wa Mapinduzi kurejea Dar mchana
Mabingwa wa Michuano ya Mapinduzi 2022 watarejea jijini Dar es Salaam leo mchana kutoka Visiwani Zanzibar wakiwa na taji mkononi baada ya kukamilisha malengo. Kikosi
Nyota wetu wang’ara Tuzo Mapinduzi Cup
Michuano ya Mapinduzi mwaka 2022 imefikia tamati leo ambaoo tumetawazwa mabingwa baada ya kuichapa Azam FC bao moja katika Uwanja wa Amaan. Kiungo mshambuliaji, Pape