read
news & Articles
Opa Mchezaji Bora Januari
Mshambuliaji nyota wa Timu ya Simba Queens, Opa Clement amechaguliwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) wa mwezi Januari.
Sakho akabidhiwa tuzo yake na Emirate
Kiungo mshambuliaji Pape Sakho, amekabidhiwa Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Januari (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Sakho amepewa
Wawa: Hatutacheza kwa presha dhidi ya ASEC
Licha ya kuwaheshimu wapinzani wetu wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi, Asec Mimosas kutokana na kuwa bora lakini hatutaingia uwanjani tukiwa na presha
Kapombe: Malengo yetu Ligi ya Mabingwa tumehamishia Shirikisho
Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe, ameweka wazi kuwa malengo yetu ya kufika hatua za juu katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika sasa tumehamishia Kombe
Simba Queens haikamatiki, haishikiki
Timu yetu ya Simba Queens imeendelea kufanya vizuri katika Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) baada ya kuifunga Baobab Queens mabao 3-1 leo
Viingilio mchezo wetu dhidi ya ASEC Mimosas
Jumapili Februari 13 tutashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni kuikabili ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast katika mchezo wa kwanza wa hatua ya