read
news & Articles
Chama: Tuko tayari kwa Ruvu Shooting
Kiungo mshambuliaji Clatous Chama, amesema wachezaji wote wamejipanga tayari kwa mchezo wetu dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo wa hatua ya 16 bora wa Michuano
Queens kumaliza mzunguko bila kuangusha pointi
Kocha Mkuu wa Timu ya Simba Queens, Sebastian Nkoma ameweka wazi kuwa malengo yetu ni kuhakikisha tunashinda mchezo wa kesho dhidi ya Fountain Gate ili
Pablo ajipanga kivingine mechi na Ruvu
Kuelekea mchezo wetu wa kesho wa hatua ya 16 bora ya Michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Ruvu Shooting, Kocha Mkuu Pablo
Banda: Nilimuahidi mama nitafunga
Winga Peter Banda ameweka wazi kuwa alimuahidi mama yake atafunga katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya
Pablo: Ushindi dhidi ya ASEC ni muhimu sana kwetu
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema ushindi wa mabao 3-1 tuliopata jana dhidi ya ASEC Mimosas katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ni muhimu na
Mwanzo mzuri Kombe la Shirikisho
Kikosi chetu kimeanza vizuri Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika hatua ya makundi baada ya kuichakaza ASEC Mimosas mabao 3-1 mchezo uliopigwa Uwanja wa