read

news & Articles

Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya ASEC leo

Medie Kagere amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa tano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigiwa Uwanja wa Generali Mathieu Karekou

Pablo: Tumekuja kuvunja mwiko wa ASEC

Ingawa wapinzani wetu ASEC Mimosas hawajawahi kupoteza mchezo nyumbani, Kocha mkuu Pablo Franco ameweka wazi kuwa tumejipanga kuvunja mwiko huo kesho. Pablo amekiri ASEC ni

Timu yatua salama nchini Benin

Kikosi chetu kimewasili salama nchini Benin mchana huu tayari kwa mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa Jumapili saa moja usiku

Timu kuondoka Ijumaa kuifuata ASEC Benin

Kikosi chetu kitaondoka Ijumaa alfajiri kuelekea nchini Benin kwa ajili ya mchezo wetu wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa Jumapili saa

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC