read

news & Articles

Simba, Mlandege Hakuna Mbabe

Licha ya kupata sare ya bila kufungana dhidi ya Mlandege tumefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Michuano ya Mapinduzi inayoendelea Visiwani Zanzibar. Matokeo haya yametufanya kufikisha

Pablo: Tumeazimia kushinda kila mechi

Pamoja na kujihakikishia kutinga Nusu Fainali ya Michuano ya Mapinduzi, Kocha Pablo Franco amesema tunahitaji kushinda kila mchezo. Kuelekea mchezo wetu wa kesho dhidi ya

Bwalya Mchezaji Bora wa Mechi

Kiungo mshambuliaji Rally Bwalya, amechaguliwa mchezaji bora wa mchezo wetu wa kwanza wa Michuano ya Mapinduzi dhidi ya Selem View. Pamoja na kuonyesha uwezo mkubwa

Tumetinga Nusu Fainali Mapinduzi Cup

Ushindi wa mabao 2-0 tuliopata dhidi ya Selem View uliopigwa Uwanja wa Amani umetufanya kutinga Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea Visiwani

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC