Kikosi cha Queens kitakachotuwakilisha dhidi ya SHE Corporates

Timu yetu ya Simba Queens leo saa moja usiku itashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili SHE Corporates ya Uganda katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).

Tunaingia katika mchezo wa leo tukiwa na lengo moja la kupambana kuhakikisha tunashinda na kuchukua ubingwa na kuandika historia.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

Gelwa Yonah (21), Diana William (15), Fatuma Issa (5), Esther Mayala (23), Daniella Kanyanya (22), Vivian Corazone (4), Pambani Kuzoya (17), Joelle Bukuru (18), Opa Clement (7), Aisha Juma (10),
Asha Djafari (24)

Wachezaji wa Akiba

Zubeda Mgunda (29), Doto Evarist (11), Violeth Nicholaus (26), Silvia Thomas (12), Sarrive Badiambila (2)Olaiya Barakat (9), Topister Situma (13), Philomena Abakah (27), Amina Ramadhani (14).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER