read
news & Articles
Zimbwe Jr afunguka ushindi dhidi ya Coastal
Nahodha msaizidi Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema ushindi wa mabao 2-1 tuliopata dhidi ya Coastal Union ulikuwa muhimu kwetu kwa kuwa tunataka kupunguza idadi ya
Kagere arejesha furaha dakika za majeruhi
Bao lililofungwa na mshambuliaji Meddie Kagere dakika za majeruhi kabla ya kipenga cha mwamuzi limetuwezesha kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union
Mugalu, Chama kuongoza mashambulizi dhidi ya Coastal
Mshambuliaji Chris Mugalu na Clatous Chama wataongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Uwanja wa
Tupo tayari kwa ‘battle’ la Wagosi Mkwakwani leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaoanza saa
Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mkwakwani
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal
Pablo: Hatukupata muda wa kutosha kujiandaa, tutapambana
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema hatukupata muda mzuri wa kujiandaa na mchezo wetu wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa