Mshambuliaji Moses Phiri amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Arta Solar 7 kutoka Djibouti utakaopigwa Uwanja wa Uhuru.
Phiri atasaidiwa na viungo washambuliaji Peter Banda, Nelson Okwa na Augustine Okrah.
Kikosi Kamili kilivyopangwa
Ally Salim (1), Jimmyson Mwanuke (21), Israel Patrick (5), Erasto Nyoni (18), Nassor Kapama (35), Victor Akpan (6), Peter Banda (11), Nelson Okwa (8), Moses Phiri (25), Sadio Kanoute (13), Augustine Okrah.
Wachezaji wa Akiba
Ahmed Feruzi (31), Hassan Kasim (42), Abubakar Khamis (36), Pascal Yasata (51), Omary Mfaume (53), Hassan Mussa (58), Hamim Mussa (57), Dejan Georgijevic (7).