read
news & Articles

Hatutaingia kinyonge kwa Mkapa Jumapili
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amewahakikishia mashabiki katika mchezo wetu wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi

Chama awashukuru wachezaji, mashabiki tuzo ya Agosti
Kiungo mshambuliaji Clatous Chama amewashukuru wachezaji wenzake na mashabiki waliosababisha kuchaguliwa mchezaji bora wa mwezi Agosti (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month).

Inonga, Chama waitwa timu zao za taifa
Nyota wetu wawili wa kimataifa mlinzi Henock Inonga na kiungo mshambuliaji Clatous Chama, wameitwa kwenye timu zao za taifa kujiandaa na mechi mbili za kalenda

Mkude atunyanyua jiooni Sokoine
Bao la dakika za majeruhi lililofungwa na kiungo Jonas Mkude limetuwezesha kuondoka na poiti zote tatu katika Uwanja wa Sokoine baada ya kuifunga Tanzania Prisons.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Prisons leo
Baada ya kukosekana katika mechi sita zilizopita zikiwamo tatu za mashindano na nyingine za kirafiki kutokana na majeruhi kiungo mkabaji Jonas Mkude leo ataanza katika

Makala awapa siku 60 wavamizi Mo Simba Arena
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makala ameagiza watu waliovamia eneo letu la Uwanja wa Mo Simba Arena kuondoka ndani ya miezi miwili