read
news & Articles

Lukula kocha mpya Simba Queens
Uongozi wa klabu umefikia makualiano na Charles Ayeikoh Lukula raia wa Uganda kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Wanawake ya Simba Queens kwa mkataba wa

Mgunda: Tunaelekeza nguvu zetu Angola
Baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji tuliopata jana sasa tunaelekeza nguvu katika mchezo wetu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya

Phiri Mchezaji Bora wa Mashabiki Septemba
Mshambuliaji Moses Phiri amefanikiwa kushinda kinyang’anyiro cha Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Septemba (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month). Phiri ameshinda

Tumevuna pointi tatu za Dodoma Jiji
Kikosi chetu kimefanikiwa kupata pointi tatu baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Dodoma Jiji leo
Kocha Mkuu Juma Mgunda na benchi lake la ufundi leo wameamua kuanza na washambuliaji wawili katika mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya

Tupo kwa Mkapa leo kuikabili Dodoma Jiji
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Dodoma Jiji katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo wa leo