read
news & Articles

Hivi hapa viingilio vya mechi ya marudiano dhidi ya De Agosto
Uongozi wa klabu umeweka hadharani viingilio vya mchezo wetu wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Premiero De Agosto utakaopigwa Jumapili katika Uwanja

Timu yatua salama Dar
Kikosi chetu kimerejea salama jijini Dar es Salaam kutoka nchini Angola baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya

Baada ya ushindi timu yaanza safari kurejea Dar
Kikosi chetu kimeanza safari ya kurudi jijini Dar es Salaam usiku huu kutoka Angola baada ya ushindi mnono wa mabao 3-1 tuliopata dhidi ya Premiero

Mgunda: Tunarudi kumalizia kwa Mkapa
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema licha ya kupata ushindi mnono ugenini lakini kazi bado hatujamliza tunarudi nyumbani kujipanga kwa ajili ya mechi ya marudiano. Mgunda

Tumetimba mguu mmoja ndani Makundi Afrika
Ushindi mnono wa mabao 3-1 tuliopata kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Premiero De Agosto uliopigwa Uwanja wa

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya De Agosto leo
Baada ya kukosekana katika mchezo wa ligi uliopita mlinzi wa kati Henock Inonga leo ataanza katika mechi ya hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa