read
news & Articles
Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Azam leo
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefanya mabadiliko ya wachezaji watano katika kikosi kitakachoshuka dimbani leo kuikabili Azam FC ukilinganisha na kile kilichoanza na Pamba FC siku
Tupo tayari kwa Derby ya Mzizima
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam, saa moja usiku kuikabili Azam FC (Derby ya Mzizima) katika
Queens yaisambaratisha JKT
Timu yetu ya Simba Queens imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya JKT Queens katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite
Timu yafanya mazoezi ya mwisho Uhuru
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho asubuhi katika Uwanja wa Uhuru ikiwa ni maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Azam FC utakaopigwa
Alichosema Pablo kuhusu mchezo dhidi ya Azam
Kocha Mkuu Pablo Franco amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakuwa na burudani kutokana na aina ya wachezaji
Tunakutana na Yanga Mei 28 Kirumba
Ratiba ya mchezo wetu wa Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Yanga imepangwa kufanyika Mei 28 katika Uwanja wa CCM Kirumba