read
news & Articles

Tupo kamili kwa Mzizima Derby leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ‘Mzizima Derby’ utakaopigwa Uwanja wa Benjamin

Mgunda: Tuko timamu kwa Azam kesho
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC yamekamilika na wachezaji wako kwenye

M-BET wadhamini wakuu Simba Queens
Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya M-Bet imeingia mkataba wa miaka mitano na klabu yetu kwa ajili ya kuidhamini Timu ya Wanawake ya Simba Queens.

Queens kuondoka kesho na matumaini kibao
Kocha Mkuu Charles Lukula amesema kikosi chake kitaondoka kesho alfajiri kuelekea nchini Morocco kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa

Baada ya sare timu kurejea mazoezini
Kikosi chetu leo jioni kitarejea mazoezini kujiandaa na mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Alhamisi

Mgunda: Tulipambana
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema wachezaji walipambana wakati wote wa mchezo dhidi ya watani wetu Yanga lakini hatukufanikiwa kupata alama tatu. Mgunda amesema wachezaji walicheza