read
news & Articles
Timu yafanya mazoezi ya gym
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya gym asubuhi kwa ajili ya kuweka miili sawa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wetu wa Nusu Fainali ya
Timu yaanza Maandalizi ya Nusu Fainali ASFC
Kikosi chetu kimeanza mazoezi katika Uwanja wa Nyamagana ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wetu wa Nusu Fainali ya Michuano ya Azam Sports Federation
Tumegawana pointi Kirumba
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. George Mpole
Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Geita leo
Kocha Mkuu Pablo Franco amefanya mabadiliko ya wachezaji wanne katika kikosi kitakachoanza leo kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold ukilinganisha na kile kilichocheza na Azam
Tumejipanga kuikabili Geita Kirumba leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Geita Gold katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Kipaumbele
Timu yafanya mazoezi ya mwisho Kirumba
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu