read
news & Articles

Tumepoteza mbele ya wenyeji ASFAR
Timu yetu ya Simba Queens imepoteza kwa bao moja dhidi ya wenyeji ASFAR FC ya Morocco katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo ulianza

Tumechukua tatu muhimu kwa Mtibwa
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Kikosi cha Queens dhidi ya ASFAR FC
Timu yetu ya Simba Queens leo itatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji ASFAR FC mchezo utakaonza saa

Kikosi Kitakachotuwakilisha dhidi ya Mtibwa
Baada ya kukaa nje kwa takribani mwezi mzima kuuguza jeraha mlinzi wa kulia Shomari Kapombe leo amerejea na ameanza katika kikosi kitakachoshuka dimbani kuikabili Mtibwa

Tuko tayari kuikabili Mtibwa leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia katika mchezo wa

Mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Mtibwa kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa