Kikosi cha Queens dhidi ya ASFAR FC

Timu yetu ya Simba Queens leo itatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji ASFAR FC mchezo utakaonza saa nne usiku.

Kocha Mkuu Charles Lukula ameanza na kikosi chake kamili ambacho kinajulikana na wote.

Kikosi kamili kilivyopangwa

(21), Gelwa Yonah (5), Fatuma Issa (15 ) Diana Mnali (23) Esther Erastus (22) Daniella Kanyanya, (18) Joelle Bukuru (17) Pambani Kuzoya (4) Vivian Corazone (7) Opa Clement (10) Aisha Mnuka (24) Asha Djafar.

Wachezaji wa akiba

(20) Zubeda Mgunda, (2) Sarrive Badiambila, (6) Philomena Abakah, (9) Olaiya Barakat, (11) Doto Evarist, (19) Koku Ally, (26) Violeth Nicholous, (14) Amina Hemed, (13) Topister situma (12) Silvia Mwacha.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER