read
news & Articles
Tumeacha alama zote tatu Sokoine
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons umemalizika kwa kupoteza kwa bao moja katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Sokoine jijini
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Prisons leo
Kiungo mkabaji Taddeo Lwanga ataanza kwenye kikosi kilichopangwa kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigiwa Uwanja wa Sokoine saa 10 jioni.
Kazi ni moja tu Sokoine leo…
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kwa kazi moja tu ya kuifunga Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Tumepata mapokezi makubwa jijini Mbeya
Maelfu ya mashabiki wamejitokeza kwa wingi kukipokea kikosi chetu baada ya kuwasili jijini Mbeya kwa tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC
Bocco, Mkude fiti kuivaa Prisons kesho
Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola amesema Nahodha John Bocco na kiungo Jonas Mkude ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri kuelekea jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa
Mashabiki wamwagia pesa Wawa wakimuaga
Mashabiki waliojitokeza katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wamemwagia pesa mlinzi wa kimataifa, Pascal Wawa wakati wa kuagwa baada ya kumalizika mchezo wetu dhidi ya Mtibwa