read
news & Articles

Mgunda: Sare ni sehemu ya mpira
Kocha Mkuu Juma Mgunda, ameweka wazi kuwa kutoka sare ni sehemu ya mpira na hawezi kumtupia lawama mchezaji mmoja mmoja. Mgunda amekiri kuwa safu yetu

Tumegawana pointi Sokoine
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City uliopigwa Uwanja wa Sokoine umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Kiungo mkabaji Mzamiru

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Mbeya City leo
Nahodha John Bocco ataendelea kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Uwanja wa Sokoine saa

Tupo Sokoine leo kuikabili Mbeya City
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Sokoine saa 10 jioni kuikabili Mbeya City katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia katika mchezo wa

Alichosema Mgunda kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City
Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Uwanja wa Sokoine yamekamilika na

Timu kuondoka usiku kuifuata Mbeya City
Kikosi chetu kitaondoka leo saa tano usiku kuelekea jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Jumatano saa