read
news & Articles

Kanoute Mchezaji bora wa Mashabiki Novemba
Kiungo mkabaji Sadio Kanoute amechaguliwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Mwezi Novemba (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month Month). Kanoute ambaye amekuwa

Timu yafanya mazoezi Dar, kuifuata Coastal Tanga leo
Kikosi chetu kimefanya mazoezi asubuhi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa

Tumepangwa na Eagle FC hatua ya pili ASFC
Droo ya hatua ya pili ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) imekamilika na tumepangwa na Eagle FC kutoka Dar es Salaam. Kwa mujibu

Mzamiru, Kapombe, Kanoute wachuana Mchezaji Bora Novemba
Nyota watatu wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha kutafuta mchezaji bora wa mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) wa mwezi Novemba. Wachezaji

Timu yarejea salama Dar, Wachezaji wapewa mapumziko
Kikosi chetu kimerejea salama jijini Dar es Salaam kutoka mkoani Kilimanjaro baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania

Kauli ya Mgunda baada ya ushindi dhidi ya Polisi
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema baada ya ushindi wa mabao 3-1 tuliopata mbele ya Polisi Tanzania sasa tunaelekeza nguvu katika mechi inayofuata dhidi ya