read
news & Articles

Kauli ya Kocha Wilken kuelekea mchezo dhidi ya Fountain Gate
Kocha Msaidizi, Darian Wilken amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate FC utakaopigwa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa

Queens yapata ushindi wa jioni dhidi ya Ceasiaa
Bao pekee la dakika ya 90 lililofungwa na Jentrix Shikangwa limetosha kuipa Simba Queens ushindi 1-0 dhidi ya Ceasiaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Ceasiaa Queens
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Ceasiaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) saa 10 jioni. Queens itaingia

Kapombe afunguka maana ya staili yake ya kushangilia
Mlinzi wa kulia, Shomari Kapombe amesema aina yake ya kushangilia baada ya kufunga bao la tatu ni ‘kuwazodoa’ waliokuwa wakishangilia jana kufuatia kuongoza ligi kwa

Tumerejea Kileleni mwa msimamo wa NBCPL kwa kishindo
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika Uwanja wa Ali

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Tabora United Leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa AlI Hassan Mwinyi kuikabili Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC tukiwa tunaanza
