read
news & Articles

Tupo Kamili kuwakabili KMC Kirumba leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba kuikabili KMC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Maandalizi ya mchezo yamekamilika

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Kirumba
Kikosi chetu leo kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba kujiandaa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakaopigiwa

Inonga bado yupo sana Simba
Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya wa miaka miwili na mlinzi wa kati, Henock Inonga Baka ambao utamuweka klabuni hadi mwaka 2025

Kauli ya Mgunda kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya KMC
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC yamekamilika na wachezaji wapo tayari kwa mpambano.

Ntibazonkiza ni Mnyama
Uongozi wa klabu unatangaza kufikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza kutoka Geita Gold Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu. Ntibazonkiza raia

Phiri nje wiki moja
Majibu ya vipimo vya MRI na X ray aliyofanyiwa mshambuliaji wetu kinara Moses Phiri yamekamilika na imeonekana ameumia. Kwa majibu hayo Phiri atakuwa nje ya