read
news & Articles

Mgunda: Tulitegemea Ushindani mkubwa kutoka kwa Coastal
Kocha Msaidizi, Juma Mgunda amesema kabla ya mchezo wetu wa hatua ya tatu ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya Coastal Union tulitegemea kupata upinzani

Tumetinga 16 bora ASFC
Ushindi wa bao moja tuliopata dhidi ya Coastal Union umetuwezesha kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup kwenye mchezo

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Coastal Union
Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa hatua ya tatu ya Azam Sports

Timu yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na Coastal
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena tayari kwa mchezo wa kesho wa Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi

Kitengo cha Habari chakabidhi zawadi Azam TV
Meneja wa Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally ameiongoza Idara yake kutoa zawadi ya jezi kwa kuipongeza Azam TV kufikisha miaka 10 ya kurusha matangazo ya

Imani Kajula ndiye CEO wetu mpya
Uongozi klabu umefikia makubaliano ya kumuajiri Ndugu Imani Kajula kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) Kajula anachukua nafasi iliyoachwa na Barbara Gonzalez ambaye alijiuzulu nafasi hiyo