Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Coastal Union

 

Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa hatua ya tatu ya Azam Sports Federation Cup (ASFC).

Kikosi Kamili kilivyopangwa

Beno Kakolanya (30), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Kennedy Juma (26), Ismael Sawadogo (3), Pape Sakho (10), Sadio Kanoute (13), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (39), Clatous Chama (17).

Wachezaji wa Akiba

Aishi Manula (28), Jimmyson Mwanuke (21), Gadiel Michael (2), Mohamed Ouattara (33), Erasto Nyoni (18), Mzamiru Yassin (19), Kibu Denis (38), Mohamed Mussa (14), Augustine Okrah (27).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER