read
news & Articles

Ahmed aelezea utaratibu mzima mchezo dhidi ya Raja Casablanca
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema baada ya kikosi kuwasili kutoka Guinea alfajiri ya leo wachezaji wameingia kambini moja kwa moja kuajindaa

Mo ashusha viingilio vya mchezo dhidi ya Raja Casablanca
Rais wa Heshima na muwekazaji wa klabu, Mohamed Dewji ameagiza kushushwa kwa viingilio vya mchezo wetu wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya

Timu yarejea salama Dar
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam alfajiri kutoka nchini Guinea baada ya kumalizia mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya

Queens Kibaruani tena Kesho Uhuru
Timu yetu ya Simba Queens kesho saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kuikabili Ceasiaa Queens kutoka Iringa kwenye mchezo

Hivi hapa viingilio vya mchezo wetu dhidi ya Raja Casablanca
Kiingilio cha chini ya mchezo wetu wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca utakaopigwa Uwanja wa Benjamin

Robertinho: Hatukuwa na bahati Guinea
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema tulikosa bahati katika mchezo wetu dhidi ya Horoya na hilo limesababisha kupoteza ugenini kwa bao moja. Robertinho amesema tumepoteza