read

news & Articles

Watano waitwa Taifa Stars

Wachezaji wetu watano wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinachojiandaa na michuano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN). Stars itacheza mechi

Okrah ni Mwekundu na Mweupe

Klabu yetu imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Augustine Okrah kutoka Bechem United inayoshiriki Ligi Kuu nchini Ghana kwa mkataba wa miaka miwili. Okrah (28),

Timu kupaa Misri Alhamisi kwa Pre Season

Kikosi chetu kitaondoka nchini Alhamisi kuelekea Misri tayari kwa maandalizi ya msimu mpya wa ligi (Pre Season) 2022/23. Wachezaji wote ambao tutakuwa nao msimu ujao

Zoran: Sina presha kufanya kazi Simba

Kocha wetu mpya Zoran Maki amekiri Simba ni timu kubwa lakini hana presha kuiongoza kwani amefanya kazi katika Bara la Afrika kwa miaka sita. Zoran

Kapama ni Mnyama

Klabu yetu imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo nyota Nassoro Kapama kutoka Kagera Sugar kwa mkataba wa miaka miwili. Kapama ana uwezo wa kucheza nafasi nyingi

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC