read

news & Articles

Matola: Simba ya msimu ijayo tishio

Kocha Msaidizi Seleman Matola, ameupongeza uongozi pamoja na Kamati ya Usajili kwa kufanya usajili ambao umeziba mapungufu yote yaliyokuwepo msimu uliopita. Matola amesema kwa sasa

Tunashuka tena dimbani kesho

Kikosi chetu kinatarajia kucheza mchezo wa tatu wa kirafiki dhidi ya timu ya Haras El Hodood iliyopanda daraja ya kushiriki Ligi Kuu ya Misri msimu

Tumepata ushindi wa kishindo

Kikosi chetu leo kimefanikiwa kupata ushindi mnono wa mabao 6-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Abo Hamad inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Misri.

Sakho arejea Misri apokelewa na Balozi

Kiungo mshambuliaji Pape Sakho amerejea nchini Misri akitokea Rabat, Morocco kwenye hafla ya tuzo zilizotolewa juzi na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF). Sakho amepokelewa

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC