read

news & Articles

TAARIFA KWA UMMA

Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na wachezaji wetu watatu wakimataifa, Medie Kagere, Chris Mugalu na Taddeo Lwanga. Baada ya mazungumzo

Okwa ni Mnyama

Klabu yetu imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Nelson Okwa (28) kutoka Rivers United ya Nigeria kwa mkataba wa miaka miwili. Okwa ambaye anatumia mguu

CRDB yaidhamini Simba Day

Benki ya CRDB imeingia ushirika na klabu yetu kudhamini Tamasha letu la Simba Day litakalofanyika Agosti 8, mwaka huu ambapo wameweka Sh milioni 25. Fedha

Ahmed awaongoza Wanasimba kuchangia damu

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amewaongoza wanachama, wapenzi na mashabiki wetu kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya shughuli ya kijamii kuelekea

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC