Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya African Sports Leo

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili African Sports kutoka Tanga katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya Azam Sports Federation Cup (ASFC).

Kocha Mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefanya mabadiliko ya wachezaji 10 ukilinganisha na kikosi kilichocheza mchezo wetu wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vipers.

Ni Moses Phiri peke yake ndiye mchezaji ambaye yupo kikosini leo na alianza katika mchezo dhidi ya Vipers.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Gadiel Michael (2), Kennedy Juma (26), Mohamed Ouattara (33), Jonas Mkude (20), Pape Sakho (10), Erasto Nyoni (18), Habibu Kyombo (32), Moses Phiri (25), Jean Baleke (4).

Wachezaji wa Akiba

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Nassor Kapama (35), Peter Banda (11), Muzamiru Yassin (19), Clatous Chama (17), John Bocco (22), Mohamed Mussa (14), Jimmyson Mwanuke (21)

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER