Tabiri Kikosi kitakachocheza dhidi ya African Sports Leo

Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Uhuru saa 10 jioni kuikabili African Sports katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya Azam Sports Federation Cup (ASFC).

Tabiri hapa Kikosi cha kwanza ambacho unaamini kocha Robertinho atakipanga…..

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER