read

news & Articles

Kapombe asaini mkataba mpya

Mlinzi wa kulia, Shomari Kapombe amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia ndani ya kikosi chetu hadi mwaka 2025. Tangu alivyorejea kwa mara ya

Che Malone ni Mnyama

Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kumsajili mlinzi wa kati, Che Fondoh Malone (24) raia wa Cameroon kutoka Cotton Sports FC kwa mkataba wa miaka

JOASH AJIUNGA NA SINGIDA KWA MKOPO

Uongozi wa Klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kumtoa kwa mkopo mlinzi wa kati Joash Onyango kwenda Klabu ya Singida Fountain Gate FC hadi mwisho

Mikael Igendia Meneja mpya wa timu

Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kumuajiri Mikael Igendia raia wa Kenya kuwa Meneja wa timu na Mkuu wa Sayansi ya Michezo kwa mkataba wa

Hategekimana Kocha mpya wa Viungo

Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kumuajiri, Corneille Hategekimana raia wa Rwanda kuwa kocha mpya wa viungo kwa mkataba wa miaka miwili. Hategekimana (47) amejiunga

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC