JOASH AJIUNGA NA SINGIDA KWA MKOPO

Uongozi wa Klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kumtoa kwa mkopo mlinzi wa kati Joash Onyango kwenda Klabu ya Singida Fountain Gate FC hadi mwisho wa msimu 2023 – 2024.

Kwa sasa, Joash amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na Simba Sports Club .

Uongozi wa Simba Sports Club unapenda kumshukuru sana Joash kwa mchango wake mkubwa na alikuwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya Klabu yetu.

Uongozi wa Simba Sports Club unapenda kumtakia kila la kheri Joash Ochieng Onyango kwenye majukumu yake mapya.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER