read
news & Articles
Mzamiru, Kapombe, Kanoute wachuana Mchezaji Bora Novemba
Nyota watatu wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha kutafuta mchezaji bora wa mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) wa mwezi Novemba. Wachezaji
Timu yarejea salama Dar, Wachezaji wapewa mapumziko
Kikosi chetu kimerejea salama jijini Dar es Salaam kutoka mkoani Kilimanjaro baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania
Kauli ya Mgunda baada ya ushindi dhidi ya Polisi
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema baada ya ushindi wa mabao 3-1 tuliopata mbele ya Polisi Tanzania sasa tunaelekeza nguvu katika mechi inayofuata dhidi ya
Tumechukua pointi tatu muhimu kwa Polisi
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Ushirika
Kikosi kitaka chotuwakilisha dhidi ya Polisi leo
Kocha Mkuu Juma Mgunda, ataanza na washambuliaji wawili katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Uwanja wa
Leo tuko Ushirika Moshi kuikabili Polisi Tanzania
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Ushirika kuikabili Polisi Tanzania katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia katika mchezo wa